Milioni 2,ntaanza hivi!!

mtaji ukiongozeka jenga mortuary ya mtaani isiyohitaji hospitali
 
kwa upande wa boda boda fedha yake ihifadhi (usiitumie hata kidogo) kwa muda wa miezi kumi....na iwapo utaitumia hakikisha unairudisha...baada ya hapo utakuwa na nguvu ya kumiliki boda boda mbili.........nazo zikikuletea fedha tumia sehemu ya kumi tu nyingine usiiguse asilani........na hivi ndivyo makampuni ya transport yanavyoinuka........
 
Usisahau kuweka na
vocha ingawaje faida yake ni ndogo lakini vocha ni kivutio kikubwa sana
cha kumleta mteja ktk eneo lako la biashara hivyo ni rahisi kununua na
bidhaa nyingine.

word...
 
1 milion ntanunua boda boda used. Laki 5 ntanunua kuku wale wa malawi na nitawafuga kisasa .kwa msaada wa jf memberz ntafanikiwa. Laki 1 ntanunua eka 1 ntataftia hati ili niweze pata mkopo. Mapato ya boda boda ntatumia kununua msosi wa kuku na madawa
mkuu wapi huko eka 1 inapatikana kwa laki moja?
 

Brother Umenena Sana, Ushauri Mzuri Sanaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…