Milioni 20: Wastani wa kiasi cha fedha ambacho mwanamuziki Diamond huingiza kwa siku

Milioni 20: Wastani wa kiasi cha fedha ambacho mwanamuziki Diamond huingiza kwa siku

Mimi kubeba boksi kwa siku naingiza karibu laki nne kabla sijakatwa kodi maamaee
 
Mnamlostisha kijana wa watu kwa umbeaumbea mnamsaidia kulipa mapato TRA mana wakisikia anaingiza mil 20 kwa siku atapewa mashine za EFD kama 5 hivi
 
Wasanii siku zote wanajiweka juu sana
Ila mwisho wa siku wakifirisika hadi aibu kuwasema
 
Wanaume Wa Dar

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Jaman tuache kukurupuka mapato ya Diamond kwa sasa wanaomfuatilia kuishia mwaka jana wanamkadiria aliweza kuingiza Tshs 1.4B... Hasa huyu anayekuja na data za Tshs 7B kwa mwaka sijui kaipata wapi?
 
Jaman tuache kukurupuka mapato ya Diamond kwa sasa wanaomfuatilia kuishia mwaka jana wanamkadiria aliweza kuingiza Tshs 1.4B... Hasa huyu anayekuja na data za Tshs 7B kwa mwaka sijui kaipata wapi?
Fanya uchunguzi labda wa mwazo ndio walikurupuka
 
Wanaume Wa Dar

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Mkuu kati ya watu wa kweli we wa kwanza kukuona,maana simu unayomiliki na huko ulipo inaendana.
hwawei-y530-u00-242015-fc5d9868.jpg
 
Hutu Kijana anamkwanja mrefu kabisa namivnamini kwa east Africa akawa anaongoza kwa sasa ni juzijuzi tu kanunua nyumba south kama ml 460 kwa pesa zetu za madafu sh
Aikuputa wiki kanunua nyumba tatu zipo pamoja kwa viwanja tofauti. Tabata kwa sh ml 370 fikiria hapo ndani ya wiki mbili tu katumia mkwanja mrefu kiasi hico ana balance ya sh ngapi?
 
Back
Top Bottom