Fanya uchunguzi labda wa mwazo ndio walikurupukaJaman tuache kukurupuka mapato ya Diamond kwa sasa wanaomfuatilia kuishia mwaka jana wanamkadiria aliweza kuingiza Tshs 1.4B... Hasa huyu anayekuja na data za Tshs 7B kwa mwaka sijui kaipata wapi?
Mkuu kati ya watu wa kweli we wa kwanza kukuona,maana simu unayomiliki na huko ulipo inaendana.Wanaume Wa Dar
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Mkuu kati ya watu wa kweli we wa kwanza kukuona,maana simu unayomiliki na huko ulipo inaendana.
Hakuna sehemu nilikosema kuwa hiyo simu ni "MBAYA"mbona simu nzuri tu hiyo???