Milioni 25 naweza pata gari gani kati ya hizi?

Gwesefe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
682
Reaction score
382
Habari wadau.
kwa anaefahamu magari naomba ushauri nina mil 25 nahitaji gari ndogo ya kutembelea. Ni gari ipi nzuri kati ya rav4, kruger na harrier. msaada wenu tafadhali!
 
Nenda TRA wana mnada wa magari bandarini tarehe 4 Januari. Kukagua magari ni siku mbili baada ya mwaka mpya
 
Habari wadau.
kwa anaefahamu magari naomba ushauri nina mil 25 nahitaji gari ndogo ya kutembelea. Ni gari ipi nzuri kati ya rav4, kruger na harrier. msaada wenu tafadhali!
chagua moja kati yahizi nikupe kwa ml 25.hata rav4 miss Tanzania ya ml 25 ninayo .
 
Habari wadau.
kwa anaefahamu magari naomba ushauri nina mil 25 nahitaji gari ndogo ya kutembelea. Ni gari ipi nzuri kati ya rav4, kruger na harrier. msaada wenu tafadhali!
Hammer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…