Milioni 25 naweza pata gari gani kati ya hizi?

Milioni 25 naweza pata gari gani kati ya hizi?

Habari wadau.
kwa anaefahamu magari naomba ushauri nina mil 25 nahitaji gari ndogo ya kutembelea. Ni gari ipi nzuri kati ya rav4, kruger na harrier. msaada wenu tafadhali!
Mkuu Kruger iko vizuri sana alafu kwa masafa iko pouwa sana
 
Habari wadau.
kwa anaefahamu magari naomba ushauri nina mil 25 nahitaji gari ndogo ya kutembelea. Ni gari ipi nzuri kati ya rav4, kruger na harrier. msaada wenu tafadhali!

Kati ya hayo machaguo yako chukua RAV4 kilitime yenye engine ya VVTI 1700cc, utasave kuanzia kwenye bei ya kununua, mafuta, na maintanance.
 
5ba23a21b4e85ee651618635d549bb43.jpg
1a034d33f7eced40d7a7743894465b0e.jpg
33bb794699709a19571b47b14249f059.jpg
ad781ceb93302690610f7886a4826beb.jpg
356a35b02188feae0b1108cafdb29c79.jpg
a366a80e4d8f6c91cb6876d44f5ac37d.jpg
chagua moja kati yahizi nikupe kwa ml 25.hata rav4 miss Tanzania ya ml 25 ninayo .
We ni mwizi uliekubuhu yaani unataja pesa ile ile aliyotaja yeye. ?!
 
Nunua Rav4 Kili time zile za miaka 2003/4 hivi ni imara,haili sana mafuta,rahisi kuihudumia. Kwa hela hio na chenji inabaki.
Zile ni kuanzia 16 million kwenda juu
 
Back
Top Bottom