Milioni 25 naweza pata gari gani kati ya hizi?

Habari wadau.
kwa anaefahamu magari naomba ushauri nina mil 25 nahitaji gari ndogo ya kutembelea. Ni gari ipi nzuri kati ya rav4, kruger na harrier. msaada wenu tafadhali!
Mkuu Kruger iko vizuri sana alafu kwa masafa iko pouwa sana
 
Habari wadau.
kwa anaefahamu magari naomba ushauri nina mil 25 nahitaji gari ndogo ya kutembelea. Ni gari ipi nzuri kati ya rav4, kruger na harrier. msaada wenu tafadhali!

Kati ya hayo machaguo yako chukua RAV4 kilitime yenye engine ya VVTI 1700cc, utasave kuanzia kwenye bei ya kununua, mafuta, na maintanance.
 
Nunua Rav4 Kili time zile za miaka 2003/4 hivi ni imara,haili sana mafuta,rahisi kuihudumia. Kwa hela hio na chenji inabaki.
Zile ni kuanzia 16 million kwenda juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…