Milioni 300 zinakaribia pensheni ya Ubunge

Kwanini wala rushwa huwa wanajipangia dau kama za mama zao?
Hawajui watu tunasota haswa kuzipata halafu wewe unanipangia cha kukupa masikini shida sana
Mimi wala rushwa na ombaomba tofauti yao ni moja
Mmoja anajipangia na mwingine anaomba ila wote ni njaa tu washenzi hao
 
Jitu zima linazungumzia mirathi za wazazi,means alipata ubunge kwa kura za VETO? anazingua ni ushamba tu
 
Taarifa zinasema alitaka apewe bilioni moja, jamaa wakagoma, wakasema wanaenda kumsema kwa mama, ili kuwawahi, akaamua ajilipue
Hapana alikataa sababu huo mtaa wanakaa watu maarufu kina Davis Mosha, Lugumi, Tibaijuka na vigogo kibao so hakuna pesa angehongwa na sheli ambayo asingeweza kuipata akitetea wale vibosile.

Na kama angehongwa ingemtokea puani maana mtaa imejaa vibosile ila ingekua huko Zakheem angepokea tu na wala kusingekua na kelele.
 
Hahahaa
 
Hela ilkua ya moto iyo tena bibi tibaijuka kasimamia shoo utazani ana endaga kuchezea apa sheli
 
Million 300 ni parefu na kusema mtoto wa rubani ni tajiri si sawa maana misharaha ya marubani inatambulika haswa hapa bongo makampuni yenyewe faidi ndogo yanazidiwa na taasisi kibao za serikali.

Ruban bongo analipwa pesa ya kawaida wala sio tajiri mkubwa.
 
Back
Top Bottom