Milioni 35 itakamilisha ujenzi wa nyumba yangu?

Ujawek Total mkuu
 
Habari wakuu,

Kwa wataalamu wa ujenzi milioni 35 itaifikisha nyumba hatua gani? Ni nyumba ya vyumba 3 kikiwemo cha master, dining, jiko na stoo.
Nyumba inaisha 90% ukiwa siriasi na usimamizi nje na hapo utashangaa umeishia njian
 

Plumbing 700k fundi na vifaa big NO


Wiring 600k fundi na vifaa big No

Kupaua sema ndo 8m


Plundering huo ni mzik mwingine unaweza kula ata 3m tena


Mengine unakaribia though makadirio yako hayamuwek fundi
 
Plumbing 700k fundi na vifaa big NO


Wiring 600k fundi na vifaa big No

Kupaua sema ndo 8m


Plundering huo ni mzik mwingine unaweza kula ata 3m tena


Mengine unakaribia though makadirio yako hayamuwek fundi
Uko vizuri kwenye hesabu, wengi watakao bishia hiyo hesabu hawajawahi jenga. Kuna gharama za tiles nimetumiwa hapa naona bei yake inakimbizana na gharama za kupaua 😀
 
Waweza ... angalia hizi hapa nyumba kutoka ktk website yetu... siwezi weka zote!

 

Attachments

  • Screenshot_20231128-170902.jpg
    334.8 KB · Views: 16
Forester ndo maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…