The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Shughuli za kawaida, matumizi ya kawaidaHilo gari kwa ajili ya shughuli gani? Ana familia ama bachelor? Mtu wa kushow off ama wa kulay low?
Daa.
Watu wanahela wanafikiria wanunue usafiri gani ..alafu unakuta bado amepanga ila ananunua gari..mi natafuta ya kuchimba choo tuu nipange ma tairi nihamie huko hivyo hivyo nakosa.
Inauma sana.
Asante mangiPole sana mkuu
Kwani anaishi kigoma? 😂Nunua Mchomoko New Modo
Mchomoko ni gari gani?Nunua Mchomoko New Modo
Huyu mleta Uzi atakua ni Muha wa UjijiKwani anaishi kigoma? [emoji23]
Gari ya Waha wa Ujiji na Kanda jirani na mtoa mda ni Muha wa UjijiMchomoko ni gari gani?
Gari fulani hivi binafsi sizijui jina, wanaziagiza sana watu wa Kigoma.Mchomoko ni gari gani?
Yani hilo jina la mchomoko ndio maarufu huko Kigoma?Gari fulani hivi binafsi sizijui jina, wanaziagiza sana watu wa Kigoma.
Yap, nadhani ile gari ni Toyota probox najaribu kumbuka kumbuka kama niko sahihi. Kule ndio wanaita mchomoko.Yani hilo jina la mchomoko ndio maarufu huko Kigoma?
Unapata hizo gari kwa hiyo pesa...Kuna mtu kaniomba ushauri hapa kwamba ana milioni 35 anahitaji gari nzuri ila isiwe vanguard ama harrier.
Mimi sio mtaalam wa magari, naomba mnaojua magari mnipe mawazo nikampe mshikaji.
Ahsante.
Nilitaka kumshauri sawa na ulivyosema. ThanksChukua Volkswagen toureg hii ndinga utapata heshima mjini na kijijini... land cruiser V8 anapata shida Kwenye hiyo mashine
Ndiyo hiyo hiyo ProboxYap, nadhani ile gari ni Toyota probox najaribu kumbuka kumbuka kama niko sahihi. Kule ndio wanaita mchomoko.