Milioni 4.5 ninunue bodaboda mbili au nifanye finishing ya nyumba yangu

Weka kwenye boda boda mpe dereva mwenye familia mpe mkataba alafu nyingne endesha mwenyew kwa mwezi 520k au zaidi usiope ndani miezi 9 utafikia melengo yako kumbuka uvumilivu mkubwa unatajika kufikia malengo watu jenga kupitia boda boda
 
Chukua hapo 10K chap, agiza mdudu kilo moja na Serengeti mbili baridi ,piga msosi ukimaliza uanze kutafakari
 
Shika Moja fanya moja, Malizia nyumba kwanza utapata utulivu wa akili HUWEZI kufa njaa maana nyumba huongeza uaminifu kwa Jamii.

Ukienda bodaboda ukapata ajali ya miguu utaanzaa KULIALIA n'gombe wa maskini hazai kumbe wenge lako mwenyewe.
Asante mkuu ushauri mzuri aisee
 
Asante mkuu ushauri mrua sana
 
Asante mkuu ushauri mrua sana
 
Nunua bodaboda Moja, nyingine weka Benji ndani ya miezi miwwili utakuwa ushapata hela hiyo ulionunulia kama utakuwa unaendesha mwenyewe na kuweka nguvu kwenye kazi yako ya bodaboda Huku ukiwa mbahili WA kiwango cha lami
Asante mkuu ushauri mzuri
 
Aisee vp kipato chake mkuu na kwann hutak kuongeza nyingne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…