Milioni 4.5 ninunue bodaboda mbili au nifanye finishing ya nyumba yangu

Milioni 4.5 ninunue bodaboda mbili au nifanye finishing ya nyumba yangu

Busara hapo ni kuigawa hiyo pesa, nusu ya pesa nunua boda boda moja upige kazi mwenyewe na nusu nyingine iliyobakia itulize kibindoni ili kuja kumalizia nyumba yako. Boda boda ikilipa fresh, unajazia pesa uliyovuna+Pesa ya kibondoni na kumalizia nyumba yako.

Heri nusu shari kuliko.......
Usiweke mayai yote kwenye......
Shukran mkuu umefikria vizur sana
 
Ukitaka kujipima kama we we una roho ya kijasilia Mali ni kuamua kuingiza pesa ktk business.Wengi ni waoga..Ujasilia Mali sio maneno Bali vitendo.Is all about taking risk.Jipime kama unatosha kanunue boda vinginevyo kajenge.Binafsi nshapoteza sana ila sijawahi koma.Mashine can buy house but house can not buy mashine.
Salute mkuu ushauri mrua sana
 
Nunua bajaji mkuu ivi 4.5 huwezi pata bajaji nzuri au hauko interested nazo?
 
Bila shaka na hichi ndicho wa bongo wengi kinatushinda.
Mtu a kipata hela nyingi kwa mkupuo akili yake inawaza KUJENGAA.
Mwisho wa siku hela zinaisha atabaki na nyunba yake lakini hela HANA.
Baada ya hapo watu wataanza kumsema alikuwa na milioni 50.lakini mpaka sasa ame baki na nyumba tu na gari mkweche
principle 1: tumia asset kuzalisha liability

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom