Milioni 4.5 ninunue bodaboda mbili au nifanye finishing ya nyumba yangu

Shukran mkuu umefikria vizur sana
 
Salute mkuu ushauri mrua sana
 
Nunua bajaji mkuu ivi 4.5 huwezi pata bajaji nzuri au hauko interested nazo?
 
Bila shaka na hichi ndicho wa bongo wengi kinatushinda.
Mtu a kipata hela nyingi kwa mkupuo akili yake inawaza KUJENGAA.
Mwisho wa siku hela zinaisha atabaki na nyunba yake lakini hela HANA.
Baada ya hapo watu wataanza kumsema alikuwa na milioni 50.lakini mpaka sasa ame baki na nyumba tu na gari mkweche
principle 1: tumia asset kuzalisha liability

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…