Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
Daahnje ya mada kidogo mkuu, ulipojiita "mwanamke wa mithali" ulikua unamaanisha nn?
YesHii biashara ya duka la pombe kali (hard liquor store) naihusudu mno, hasa ikiwa na kijisehemu kidogo (kisebule) Cha wadau wawili watatu kukaa na kupiga vitu.
Kama kuna wadau wenye experience ya hii biashara mtupe uzoefu.
Kama ni kwa ajili ya kununulia mzigo peke yake inatosha kuanza. Akufuate PM umwelekeze.Wanaosema inatosha sijui wanatumia hesabu gani.sasa hivi kreti za soda Pepsi na coca cola kwenye gari ni elfu kumi na Tano hapo hazina maji yake.
Kreti za bia kununua kwa agent wa tbl ni elfu kumi na tatu.kwa agent wa sbl ni elfu kumi na mbili mia Tano hapo hazina maji yake.Sijajua Kwa maeneo utakayokuwepo
Shelf hujatengeneza Bado hujanunua pallet.hujaenda TRA,manispaa,cheti cha TBS,mashine ya EFD na vyeti vya afya Kwa wafanyakazi vinahitajika viwepo, vinapatikana Kwa bwana afya Kwa njia mchongo bila ya hivyo kila mara watakuja kukukagua.
Bado hujalipa Kodi ya fremu.hujanunua thamani za ofisi kama meza na viti.
Matumizi yote hapo juu Bado hujakuwa na bidhaa ya kuuza ili uingize pesa.hapo umepaki pesa ambayo haizalishi.
Wasomi ndio maana biashara zinawashinda.Wanaosema inatosha sijui wanatumia hesabu gani.sasa hivi kreti za soda Pepsi na coca cola kwenye gari ni elfu kumi na Tano hapo hazina maji yake.
Kreti za bia kununua kwa agent wa tbl ni elfu kumi na tatu.kwa agent wa sbl ni elfu kumi na mbili mia Tano hapo hazina maji yake.Sijajua Kwa maeneo utakayokuwepo
Shelf hujatengeneza Bado hujanunua pallet.hujaenda TRA,manispaa,cheti cha TBS,mashine ya EFD na vyeti vya afya Kwa wafanyakazi vinahitajika viwepo, vinapatikana Kwa bwana afya Kwa njia mchongo bila ya hivyo kila mara watakuja kukukagua.
Bado hujalipa Kodi ya fremu.hujanunua thamani za ofisi kama meza na viti.
Matumizi yote hapo juu Bado hujakuwa na bidhaa ya kuuza ili uingize pesa.hapo umepaki pesa ambayo haizalishi.
DuuhWanaosema inatosha sijui wanatumia hesabu gani.sasa hivi kreti za soda Pepsi na coca cola kwenye gari ni elfu kumi na Tano hapo hazina maji yake.
Kreti za bia kununua kwa agent wa tbl ni elfu kumi na tatu.kwa agent wa sbl ni elfu kumi na mbili mia Tano hapo hazina maji yake.Sijajua Kwa maeneo utakayokuwepo
Shelf hujatengeneza Bado hujanunua pallet.hujaenda TRA,manispaa,cheti cha TBS,mashine ya EFD na vyeti vya afya Kwa wafanyakazi vinahitajika viwepo, vinapatikana Kwa bwana afya Kwa njia mchongo bila ya hivyo kila mara watakuja kukukagua.
Bado hujalipa Kodi ya fremu.hujanunua thamani za ofisi kama meza na viti.
Matumizi yote hapo juu Bado hujakuwa na bidhaa ya kuuza ili uingize pesa.hapo umepaki pesa ambayo haizalishi.
πππnje ya mada kidogo mkuu, ulipojiita "mwanamke wa mithali" ulikua unamaanisha nn?