MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hapana. Wasomi wengi kwa sasa ndo wanakimbiza hatari. Kina Vunjabei, Frank Knows, Nifer na vijana wengine wengi ni wasomi wazuri. Hicho unachosema ilikuwa miaka ya zamani sio sasa.Wasomi ndio maana biashara zinawashinda.
Ni wachache katika wengi. Na Hao wangefata hiyo milolongo wasingefika hapo walipo.Hapana. Wasomi wengi kwa sasa ndo wanakimbiza hatari. Kina Vunjabei, Frank Knows, Nifer na vijana wengine wengi ni wasomi wazuri. Hicho unachosema ilikuwa miaka ya zamani sio sasa.
Wasomi ndio maana biashara zinawashinda.
Hapo hakuna usomi ni uhalisia wa biashara mkuu .naongelea biashara ninayoifanya siongelei nadhariaWasomi ndio maana biashara zinawashinda.
Sasa ukiwa hujasoma hukati leseni wala kulipa kodi? Jamaa kaandika vitu vya msingi sana. Biashara nyingi za watu ambao wana elimu duni huendeshwa kihuni kiasi kwamba asipokuwepo biashara inakufa. Hawana mifumo. Fikra kama zako hazifai.Ni wachache katika wengi. Na Hao wangefata hiyo milolongo wasingefika hapo walipo.
Jamaa ana mawazo ya kizamani sana.Hapo hakuna usomi ni uhalisia wa biashara mkuu .naongelea biashara ninayoifanya siongelei nadharia
Sawa mkuu nimewaelewa mil 4 haitoshi kufungua grocery mtoa Mada inabidi aongeze mtaji.Sasa ukiwa hujasoma hukati leseni wala kulipa kodi? Jamaa kaandika vitu vya msingi sana. Biashara nyingi za watu ambao wana elimu duni huendeshwa kihuni kiasi kwamba asipokuwepo biashara inakufa. Hawana mifumo. Fikra kama zako hazifai.
Zinatosha kuanzisha biashara ya vinywaji. Labda kama unataka alingame na breweries. But Kwa biashara ya jumla inatosha maana biashara ya jumla ya soda na bia haihitaji shelf, ukumbi wala viti.Wanaosema inatosha sijui wanatumia hesabu gani.sasa hivi kreti za soda Pepsi na coca cola kwenye gari ni elfu kumi na Tano hapo hazina maji yake.
Kreti za bia kununua kwa agent wa tbl ni elfu kumi na tatu.kwa agent wa sbl ni elfu kumi na mbili mia Tano hapo hazina maji yake.Sijajua Kwa maeneo utakayokuwepo
Shelf hujatengeneza Bado hujanunua pallet.hujaenda TRA,manispaa,cheti cha TBS,mashine ya EFD na vyeti vya afya Kwa wafanyakazi vinahitajika viwepo, vinapatikana Kwa bwana afya Kwa njia mchongo bila ya hivyo kila mara watakuja kukukagua.
Bado hujalipa Kodi ya fremu.hujanunua thamani za ofisi kama meza na viti.
Matumizi yote hapo juu Bado hujakuwa na bidhaa ya kuuza ili uingize pesa.hapo umepaki pesa ambayo haizalishi.
Hyo 4m inatosha kuanzia..Labda Kwa grocery inawezekana.kwa liquor store hiyo bajeti ni ndogo mkuu.Ingawaje inategemea eneo la biashara na namna utakavyoseti biashara Yako.
Kama hutakuwa na kreti inatosha .
Unayosema upo sahihi, lakin hapa tunamshauri ikiwa anaanza akiwa na mtaji pungufu hivyo itambidi kutafuta vitu kwa bei ya chini zaidi(used) ..Wanaosema inatosha sijui wanatumia hesabu gani.sasa hivi kreti za soda Pepsi na coca cola kwenye gari ni elfu kumi na Tano hapo hazina maji yake.
Kreti za bia kununua kwa agent wa tbl ni elfu kumi na tatu.kwa agent wa sbl ni elfu kumi na mbili mia Tano hapo hazina maji yake.Sijajua Kwa maeneo utakayokuwepo
Shelf hujatengeneza Bado hujanunua pallet.hujaenda TRA,manispaa,cheti cha TBS,mashine ya EFD na vyeti vya afya Kwa wafanyakazi vinahitajika viwepo, vinapatikana Kwa bwana afya Kwa njia mchongo bila ya hivyo kila mara watakuja kukukagua.
Bado hujalipa Kodi ya fremu.hujanunua thamani za ofisi kama meza na viti.
Matumizi yote hapo juu Bado hujakuwa na bidhaa ya kuuza ili uingize pesa.hapo umepaki pesa ambayo haizalishi.
Daaaah πHapana. Wasomi wengi kwa sasa ndo wanakimbiza hatari. Kina Vunjabei, Frank Knows, Nifer na vijana wengine wengi ni wasomi wazuri. Hicho unachosema ilikuwa miaka ya zamani sio sasa.
Leseni ya dukan la vinywaji elfu 40?au unaongelea leseni ya grocery mkuu.leseni haipatikani TRA ukumbuke hii inapatikana halmashauri au manispaa.baada ya kuja kukufanyia ukaguzi ikiwemo mkataba wa fremu.ukishapta hiyo ndio unakwend TRA wakupe TAX CLEARANCE huku napo wana taratibu zao za ukaguzi au urefushe mkono.makadirio Kwa biashara mpya ya vinywaji vya jumla ilikuwa ya chini milioni Tano inaanzia laki Moja na ishirini mpaka Laki nne na kituZinatosha kuanzisha biashara ya vinywaji. Labda kama unataka alingame na breweries. But Kwa biashara ya jumla inatosha maana biashara ya jumla ya soda na bia haihitaji shelf, ukumbi wala viti.
TRA TIN ni bure na Ledeni ya vileo ni elfu 40 tu Kwa miezi sita. Biashara ya jumla ya vinywaji haihitaji vyeti vya Afya maana unahitaji vijana wawili tu. Moja kutoa creti ndani na kuchanganya mwingine kisukuma mkokoteni Kwa wateja wa jirani.
Kama Bado unakwama njoo ujifunze Kwa vitendo Kwa sisi tulioanza na creti Moja ya safari ndogo.
Itakuwa biashara ya jumla anayouza Kwa pisi Moja moja.akija mteja wa coton hawezi kumuuzia Kwa sababu kaanza na nusu coton.Inatosha kabisa mchanganuo ni huu hapa...
1.Leseni ya biashara 80k/100k inategemea na halmashauri...
2. Liquor licence 40k
3. Kiti cha plastik 25k/50k na meza 35/50
4.Crate tupu la bia 12k/20k inategemea na location
5. Crate tupu soda 10k/15k
6.Bia kubwa TBL safari, kilimanjaro, etc bei ya jumla ni 35k/36k
7.Bia ndogo TBL safari, kili, etc bei ya jumla 30k
8. Castle lite, plisner bei ya jumla 28k/29k
9.Eagle ndogo 17k
8.Serengeti kubwa 35k/36
9.Serengeti lite 36k
10.serengeti ndogo 28k
11. Spirit ni kama ifuatavyo Highlife box 54k
12.kvant ndogo nusu 47k
13.konyagi ndogo nusu 39k
14.konyagi kati nusu 81k
15.konyagi kubwa nusu 102k
16.Redds 6@ 12k
17........
Inatosha kabisa
Ni "mwanaumke" siyo "mwanamke"πππnje ya mada kidogo mkuu, ulipojiita "mwanamke wa mithali" ulikua unamaanisha nn?
Mimi nafanya. Mwaka wa Tatu huu. Mahitaji mengine ya kibiashara unatakiwa kuyashugulikia ukiwa tayari unaendelea na biashara. Mfanoi Tax Clearance unapataje wakati hufanyi biashara. Hayo mauzo Kwa siku, mwezi na Mwaka unayajuaje kama hujaanza. Hiyo Hela nyingi sana kuanza biashara ya vinywaji. Kama muoga kama wewe haitoshi but hiyo Hela inatosha Kwa kuanzia.Leseni ya dukan la vinywaji elfu 40?au unaongelea leseni ya grocery mkuu.leseni haipatikani TRA ukumbuke hii inapatikana halmashauri au manispaa.baada ya kuja kukufanyia ukaguzi ikiwemo mkataba wa fremu.ukishapta hiyo ndio unakwend TRA wakupe TAX CLEARANCE huku napo wana taratibu zao za ukaguzi au urefushe mkono.makadirio Kwa biashara mpya ya vinywaji vya jumla ilikuwa ya chini milioni Tano inaanzia laki Moja na ishirini mpaka Laki nne na kitu
Yote kwa yote inawezena kikubwa ni eneo na aina gani ya biashara.yaani biashara Yako unataka ufanyanye katika hadhi gani.ila biashara yenye ubora na kwenda mitindo ya kisasa kama unavyotaka haitoshi.pia shauri za watu jaribu kuangalia huyu anakuambia alianza na kreti Moja ya safari sasa jiulize alikuwa anauza jumla au rejareja.
Inawezekana anafanya masikhara ili kuchangamsha genge, kaandika Kwa ufahamu wake akiwa timamu au kaamua kujutoa ufahamu