Milioni 50 kwa Buku?

daxy Jr

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
88
Reaction score
307
Haha wanangu wa majamvi wikiendi ya maokoto si ndo hiii, Kuna LiJackpot nimekutana nalo huko Sokabet, hehe yani mechi 6 tu unatabiri kwa buku tu!

Kama mnavonijua mm sio mchoyo wa michongo, Keka labgu hili hapa:

Amua Ushindi Wako, Usije sema sikukwambiaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaona umeshinda tayari hatakama timu hazicheza alooh!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na bajet inaaza hapo hapo:-

1. Altezer kali
2. Redio ya (LG)
3.simu ya IPhone
4. Pamba kali.
5. Mtoto mkali + bata kwa sana
😭😭😭😭
 
Na bajet inaaza hapo hapo:-

1. Altezer kali
2. Redio ya (LG)
3.simu ya IPhone
4. Pamba kali.
5. Mtoto mkali + bata kwa sana
😭😭😭😭
Unajiona upo Ibiza na watoto wakali wadachi na walatino unagonga mvinyo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…