Ipi dot com JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 306 Reaction score 166 Jul 29, 2013 #1 Salaam wakuu, nahitaji sh milioni za mkopo wa haraka kwa dhamana ya nyumba hapa dar. Kwa mwenye kujua mahali ninapoweza kupata nitashukuru..nawasilisha
Salaam wakuu, nahitaji sh milioni za mkopo wa haraka kwa dhamana ya nyumba hapa dar. Kwa mwenye kujua mahali ninapoweza kupata nitashukuru..nawasilisha
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,890 Reaction score 2,795 Jul 29, 2013 #2 si uende benki kaka au nyumba yako magumashi au ya urithi?