Milioni mbili nahitaji

Milioni mbili nahitaji

Ipi dot com

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
306
Reaction score
166
Salaam wakuu, nahitaji sh milioni za mkopo wa haraka kwa dhamana ya nyumba hapa dar.
Kwa mwenye kujua mahali ninapoweza kupata nitashukuru..nawasilisha
 
si uende benki kaka
au nyumba yako magumashi au ya urithi?
 
Back
Top Bottom