Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 4,062 Reaction score 5,741 Jul 1, 2023 #21 Ukitaka kupata vijana mia na mkae kikao muelewane LABDA muwe mabruda au ma- padre wakatoliki au ma-monk wa budha ama muwe mujahedeena bila ya IMANI inayohusu total obedience kukusanya watu mia muongee muelewane haiwezekani
Ukitaka kupata vijana mia na mkae kikao muelewane LABDA muwe mabruda au ma- padre wakatoliki au ma-monk wa budha ama muwe mujahedeena bila ya IMANI inayohusu total obedience kukusanya watu mia muongee muelewane haiwezekani
Shilingii Senior Member Joined Feb 3, 2023 Posts 158 Reaction score 205 Jul 2, 2023 #22 Tuchangishane tukanunue fressian wa maziwa baadae tutajenga kiwanda chamamilki