bhakamu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 813 Reaction score 787 Oct 21, 2016 #1 Wadau Nina kiasi tajwa hapo huu nahitaji kufungua kiduka cha spea za pikipiki sanlg. Naombeni ABC za hii biashara zaidi ...
Wadau Nina kiasi tajwa hapo huu nahitaji kufungua kiduka cha spea za pikipiki sanlg. Naombeni ABC za hii biashara zaidi ...
C chief iddy Member Joined Jul 20, 2016 Posts 85 Reaction score 60 Oct 25, 2016 #2 Mchawi location mkuu tafuta sehemu inapofanyika hyo biashara kwasana tafuta na fundi ili upige pesa ndefu
Mchawi location mkuu tafuta sehemu inapofanyika hyo biashara kwasana tafuta na fundi ili upige pesa ndefu
bhakamu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 813 Reaction score 787 Oct 26, 2016 Thread starter #3 chief iddy said: Mchawi location mkuu tafuta sehemu inapofanyika hyo biashara kwasana tafuta na fundi ili upige pesa ndefu Click to expand... Wasiwasi wangu ni hiyo capital mkuu kiduka ..kitapendeza kweli?
chief iddy said: Mchawi location mkuu tafuta sehemu inapofanyika hyo biashara kwasana tafuta na fundi ili upige pesa ndefu Click to expand... Wasiwasi wangu ni hiyo capital mkuu kiduka ..kitapendeza kweli?
C chief iddy Member Joined Jul 20, 2016 Posts 85 Reaction score 60 Oct 26, 2016 #4 Nunua vitu muhimu kwanza
C chief iddy Member Joined Jul 20, 2016 Posts 85 Reaction score 60 Oct 26, 2016 #5 Usinunue spare za bei
Savimbi JB JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 378 Reaction score 343 Oct 26, 2016 #6 Location ndio kitu kikubwa sana maana ukibugi hapo ndio basi,,,mwingine ataweka sehemu nyingine kwa mtaji nusu ya wa kwako lakn pana mzunguko so ATAULA
Location ndio kitu kikubwa sana maana ukibugi hapo ndio basi,,,mwingine ataweka sehemu nyingine kwa mtaji nusu ya wa kwako lakn pana mzunguko so ATAULA
niachiemimi JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,606 Reaction score 5,295 Oct 26, 2016 #7 Huo mtaji kwa kuanzia unatosha. Tumia akili yako vizuri utaona matokeo +.
kandere JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 313 Reaction score 213 Oct 26, 2016 #8 Kwanini usifungue biashara ya chips mayai, inalipa sana. Haihitajia chanzo kikubwa cha pesa.
bhakamu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 813 Reaction score 787 Oct 26, 2016 Thread starter #9 chief iddy said: Nunua vitu muhimu kwanza Click to expand... Sawa mkuu ngoja niongee na mafundi waniambie vitu vya kwanza navyo asante kwa mchango chanya...
chief iddy said: Nunua vitu muhimu kwanza Click to expand... Sawa mkuu ngoja niongee na mafundi waniambie vitu vya kwanza navyo asante kwa mchango chanya...
essaugervas JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 580 Reaction score 280 Oct 26, 2016 #10 hela nying sana hyo kwa biashara ya spea za pikipiki
bhakamu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 813 Reaction score 787 Oct 26, 2016 Thread starter #11 kandere said: Kwanini usifungue biashara ya chips mayai, inalipa sana. Haihitajia chanzo kikubwa cha pesa. Click to expand... Mkuu nipo usukumani huku... Wao ni ugali tu so ntakosa Wateja ...
kandere said: Kwanini usifungue biashara ya chips mayai, inalipa sana. Haihitajia chanzo kikubwa cha pesa. Click to expand... Mkuu nipo usukumani huku... Wao ni ugali tu so ntakosa Wateja ...