Milioni tatu na nusu kama mtaji

Milioni tatu na nusu kama mtaji

bhakamu

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
813
Reaction score
787
Wadau Nina kiasi tajwa hapo huu nahitaji kufungua kiduka cha spea za pikipiki sanlg. Naombeni ABC za hii biashara zaidi ...
 
Mchawi location mkuu tafuta sehemu inapofanyika hyo biashara kwasana tafuta na fundi ili upige pesa ndefu
 
Mchawi location mkuu tafuta sehemu inapofanyika hyo biashara kwasana tafuta na fundi ili upige pesa ndefu
Wasiwasi wangu ni hiyo capital mkuu kiduka ..kitapendeza kweli?
 
Location ndio kitu kikubwa sana maana ukibugi hapo ndio basi,,,mwingine ataweka sehemu nyingine kwa mtaji nusu ya wa kwako lakn pana mzunguko so ATAULA
 
Huo mtaji kwa kuanzia unatosha. Tumia akili yako vizuri utaona matokeo +.
 
Kwanini usifungue biashara ya chips mayai, inalipa sana. Haihitajia chanzo kikubwa cha pesa.
Mkuu nipo usukumani huku... Wao ni ugali tu so ntakosa Wateja ...
 
Back
Top Bottom