Ee bwana weee..leo usiku wa kuamkia tarehe 23 niliona PT imenipita sehemu speed around 2355
Kufika sa 0000 nasikia milio risasi si risasi mabomu so mabomu Niko mwenyewe sijui nikimbilie wapi nikawa nasubiri nione wanapokimbilia badae nikasema wacha nitoke nione ndo kushangaa anga linameremeta
Kumbe ni mafataki bhna wamepiga pale mwenge (chugastan)
Nahisi itakuwa uzinduzi was sensa
Naomba kuuliza maana nimezipenda bure
Je naruhusiwa nunua na kutumia muda wowote nikitaka? Je zinauzwa wapi? Kuna kuwa na kibali chochote Cha kufanya hayo mambo? Sehemu waliporusha Kuna ma hotel watu wamelala wenye magonjwa yao pia wako nyumba za jirani
Bila taarifa inaruhusiwa kweli? Tena Kama ni sensa Basi iko planned na serikali
Naomba muongozo