Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Kuna maswali huwa najiuliza ndg zangu kuhusu hz movies hasa za hollyood tunazoangalia hv yale matukio ya miliko mikubwa,maghorofa marefu kunguka,watu uchinjwa utumbo,maini na damu nyingi kumwaika hivi yana ukweli kiasi gani?
Wengi wanasema kwamba ni 'utundu' maalum wa computer unatumika kufanya hayo mambo,sasa kama ishu ni computer mbona kwenye bongo movies sijawahi kuona milipuko,majumba kubomoka,watu kukatika miguu kama tuavyoona hollwood au kuna sayansi gani zaidi wanaotumia hawa jamaa? au wachawi?
Movies nyingi hasa za kiafrika uhalisia ndg zangu kusema kweli huwa siuoni zaidi ya kuona jambazi kashika kitoi cha bastola,kabla ya kuingia eneo la tukio "jambazi" huwa anavua viatu ndo anaigia ndani...
mtu anaenda ofisi flani akifka anabisha "hodiii.."...pia hakuna sehmu yyte actor anaweza nunua bidhaa lazima aende "supermarket" napia sijawahi ona hata mara 1 actor kachukua nokia ya tochi kaibamiza chini paaahhh.. sijawahi ona wakuu...naomba anaefahamu movie za 'mbele' zinavyotengenezwa atujuze na nina uhakika hao wanojiita bongo movie wapo humu na watajifunza..