Milipuko ya mabomu, risasi, maghorofa kuanguka

Milipuko ya mabomu, risasi, maghorofa kuanguka

Boutafrica

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
974
Reaction score
2,106
Kuna maswali huwa najiuliza ndg zangu kuhusu hz movies hasa za hollyood tunazoangalia hv yale matukio ya miliko mikubwa,maghorofa marefu kunguka,watu uchinjwa utumbo,maini na damu nyingi kumwaika hivi yana ukweli kiasi gani?

Wengi wanasema kwamba ni 'utundu' maalum wa computer unatumika kufanya hayo mambo,sasa kama ishu ni computer mbona kwenye bongo movies sijawahi kuona milipuko,majumba kubomoka,watu kukatika miguu kama tuavyoona hollwood au kuna sayansi gani zaidi wanaotumia hawa jamaa? au wachawi?

Movies nyingi hasa za kiafrika uhalisia ndg zangu kusema kweli huwa siuoni zaidi ya kuona jambazi kashika kitoi cha bastola,kabla ya kuingia eneo la tukio "jambazi" huwa anavua viatu ndo anaigia ndani...

mtu anaenda ofisi flani akifka anabisha "hodiii.."...pia hakuna sehmu yyte actor anaweza nunua bidhaa lazima aende "supermarket" napia sijawahi ona hata mara 1 actor kachukua nokia ya tochi kaibamiza chini paaahhh.. sijawahi ona wakuu...naomba anaefahamu movie za 'mbele' zinavyotengenezwa atujuze na nina uhakika hao wanojiita bongo movie wapo humu na watajifunza..
 
mkuu mimi si mtaalamu sana wa haya mambo ila kuna kitu kinaitwa computer generated imagery (CGI). Kwa kutumia softwares maalumu unaweza tengeneza mazingira au kitu kikawa intergrated na footage za movie yako.
Anagalia tortorials za Andrew Kramer jinsi anavyofundisha kutumia Adobe After Effects kutengeneza milipuko ya mabomu, risasi, kimbunga, n.k. Jinsi anavyotengeneza ajali za magari, ndege angani n.k.
Kibongo bongo ngumu maana inahitaji powerful computers ambazo ni expensive sio mtu ana PC moja ya Imac bas aseme movie studio na mtaalamu kweli maana rendering yake si mchezo kipande cha sekunde kadhaa kinaweza tumia zaidi ya dakika 30 kwenye rendering.
Movie kama Avatar rendering yake imefanyikia Holland kwenye rendering farms.
 
ushawahi kuona muvi inaitwa 2012..kama bado itafute iangalie afu hivi ndo jinsi ilivyotengenezwa:
 
Last edited by a moderator:
Tazama series za you tube za huyu mtoto anaelezea wanafanyaje, google "how they do it in Hollywood".
 
hehehe nasikia bongo movie imetumia muda mwingi sana miezi miwili kumalisha kila kitu...
 
hehehe nasikia bongo movie imetumia muda mwingi sana miezi miwili kumalisha kila kitu...

Miezi miwili?wanatumia wiki mpaka wiki mbili tuu


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Umewahi kuona muvi ya titanic? sasa pale hakukua na meli wala bahari na idadi ya watu waliokuwa pale haizidi hata 10..
 
Back
Top Bottom