Milipuko ya Magonjwa je kuna Upigaji na utakatishaji fedha ?

Milipuko ya Magonjwa je kuna Upigaji na utakatishaji fedha ?

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,425
Reaction score
4,768
Tumeshuhudia nchi isiyo na mwenyewe Ya DRC kila mlipuko mpya wa ugonjwa Africa lazima iingie.

Halafu kifuatacho ni harakati za misaada "mingi" sina hakika kama ni yote.
 
Back
Top Bottom