KERO Milipuko ya mwekezaji kupasua mawe Mtaa wa Makutano – Sumbawanga unatukwaza Wakazi wa hapo

KERO Milipuko ya mwekezaji kupasua mawe Mtaa wa Makutano – Sumbawanga unatukwaza Wakazi wa hapo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
WhatsApp Image 2026-05-11 at 08.57.06.jpeg

Mimi ni mwananchi nipo mkoa wa Rukwa, Sumbawanga Municipal, Kata ya Sumbawanga, Mtaa wa Makutano.

Tunapitia kero mtaani kwetu ya mwekezaji kulipua mabomu kila wakati wa kupasua mawe angali tayari kiwanda chake kimezungukwa na makazi ya watu.

Nyumba zetu zinapata shida za nyufa na madali kuregea kwasababu ya kazi yao hiyo. Tunaomba Serikali ifanye utaratibu atafutiwe eneo lingine lililombali na makazi ya wananchi.
WhatsApp Image 2026-05-11 at 08.57.07.jpeg
 
Viongozi kuanzia ngazi ya Serikali ya Mtaa wa makutano n.k wafuatilie hili ili kuwakomboa wananchi kuepukana na kadhia hiyo.

Yatengwe maeneo maalumu kwa ajili ya shughuli kama hizo kwa sababu wawekezaji ni chachu ya ajira
 
Back
Top Bottom