Military Intelligence Coup: Kisa cha rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq

Katika historia kuna marubani waliotoroka na ndege za JWTZ hadi leo hawajulikani walipozipeleka
 
Google historia ya Robert Mboma
Robert mboma alikuwa rubani mzuri angalau niliwahi shikana na nae mkono kipindi hicho nilikuwa natamani sana niwe rubani wa kijeshi ila alikuwepo babu yangu wa damu alikuwa rubani mzuri sana na mwalimu wa marubani wengine unaowajua hapa tz wa kijeshi alikuwa akitoka dar asubuhi anaenda mwanza kupata chai kwa dada yake dakika 28 dar to mwanza.
 
naomba namba yake ya simu
 
Akili ya shinda yote. Ee Mungu nipe akili wala sio fedha.
 
Mkuu Umeconclude vp
 
Wakati wenzetu wanaiba ndege kuirejesha nchi mwao sisi upinzani tunaenda kuwachongea kwa wazungu wataifishe ndege zetu wenyewe.

Hii haina tofauti na wale wanawapikia kesi wenzao kisa kusema ukweli kuhusu nchi hii inavyoliwa na mchwa wajanja.
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…