Military Intelligence Coup: Kisa cha rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq

Military Intelligence Coup: Kisa cha rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq

Hii issue ilipata jina maarufu "Diamond operation"
 
Kamba hukatika penye ufa...
Watu wameangalia udhaifu mdogo sana katika kumshawishi mtu kuisaliti nchi yake.
 
***** walah, wakati wenzetu wanafanya mapinduzi ya kiteknolojia (technological revolution) sisi tunawaita wanawake waliotelekezwa na waume zao kwa Bashite...tutasubir sana!
 
***** walah, wakati wenzetu wanafanya mapinduzi ya kiteknolojia (technological revolution) sisi tunawaita wanawake waliotelekezwa na waume zao kwa Bashite...tutasubir sana!

Hivi wale vijana waliotoroka na ndege Kenya enzi za Mwalimu walipona kweli baada ya kurudishwa Kenya?
 
Hawa Waisrael sijui ni watu wa aina gani wapo wachache na hawana makazi wamepora (Palestin) lakini moto wao mkubwa
 
Hapa ndo naelewa maana ya America kusema Israel is an assets of intelligent service

The "convert operation" between CIA and Mossad under disputy director William casey of CIA
 
Sisi Makachero wetu wanaiba kura za udiwani ndo wanachoweza tena kwa kumwaga damu
 
Back
Top Bottom