Military photos

Halafu Putin is there to stay na hawatamfanya kitu
Wamesahau how those vodka lovers stood their ground kwenye ile battle of Stalingrad in ww 2,,, they are fckn patriot yaaani russian are deeply in love with mother russia,,they fight with all their hearts,,,sasa huku USA washaanza kuleta habari za LGBTQ na lowering standard for special groups kwenye military
 
Carlos hathcock the white feather
Hii umbwa ni best sniper ever kwenye marine corps hadi now,,, aliwafanya vibaya sana wavietnam the legend says he could crawl stealthy na bushes around him hazitikisiki,,, they say he have 200+ kills but the confirmed number is 93
 

na ile statue yao ya ku-commemorate wanajeshi katika hiyo battle ya Stalingrad , inajina la kibabe/kizalendo sana

"The Motherland Calls"
 
wam
Wamerakani wanatafuta usawa sehemu ambazo haiitaji kabisa mambo ya usawa. Kuna muda makundi ya usawa yalikuwa yanataka kuwalazimisha washushe entry requirements kwa special forces kuanzia police mpaka special commands. Police wakashusha, Special commands wakagoma, wakawaambia wanawake watabaki kwenye supporting roles tu kwa groups kama S.E.A.Ls, Detachment Delta, Green Berets etc, with exception ya "Night Stalkers"(160th Special Operations Aviation Regiment, aka night stalkers,) ambako pia lazima wazidi zile entry requirements.
 
Mwenyewe nmesoma title, nikaona na umeniita nikajua tu hapa kuna vitu flani hivi vile karucee anapenda.....nakutana na vitu gani sijui 🙄🙄

hamna kitu hapa 🚶🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…