Military photos

Military photos

Can crawl stealthy ,that's so special[emoji39][emoji39]
 
sasa jee hujaona madude yake cku ya uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Carlos hathcock the white feather
Hii umbwa ni best sniper ever kwenye marine corps hadi now,,, aliwafanya vibaya sana wavietnam the legend says he could crawl stealthy na bushes around him hazitikisiki,,, they say he have 200+ kills but the confirmed number is 93View attachment 2101185
Can crawl stealthy ,that's so special[emoji39][emoji39]
 
Can crawl stealthy ,that's so special[emoji39][emoji39]
Ile umbwa achana nayo,,, ili crawl behind enemy lines for 3 fckn days,, kwenda kumuua general wa congs,,,na hakuna aliyemkamata alikuwa so scary had Vietnam waliweka bounty ya 30,000 USD kwa atakaye muua,,, ila sniper wote waloenda kumuwinda they had the same fate,,,just imagine mmoja wa sniper alipigwa on the eye bullet ilipita kwenye scope Yake,,, this mofo was something else [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mmarekani anataka kupigana na watu ambao wanaogopwa na bears,,, instead of bear chasing Russians,,, ila ni vice versa

[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wanavunja barafu kwenye bahari iliyoganda halafu wanaogelea bila nguo
Hawa watu balaa na wana mashindano kila December
Sisi tukiingia sekunde kumi unakauka kama mabua
IMG_4177.jpg

IMG_4176.jpg
 
Ile umbwa achana nayo,,, ili crawl behind enemy lines for 3 fckn days,, kwenda kumuua general wa congs,,,na hakuna aliyemkamata alikuwa so scary had Vietnam waliweka bounty ya 30,000 USD kwa atakaye muua,,, ila sniper wote waloenda kumuwinda they had the same fate,,,just imagine mmoja wa sniper alipigwa on the eye bullet ilipita kwenye scope Yake,,, this mofo was something else [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
sio poa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wanavunja barafu kwenye bahari iliyoganda halafu wanaogelea bila nguo
Hawa watu balaa na wana mashindano kila December
Sisi tukiingia sekunde kumi unakauka kama mabua View attachment 2101713
View attachment 2101714
ni mazoezi tu unajua sisi tuna miili migumu na mistahimilivu kuliko wajamaa huku napo wangekuwa wanapiga hayo mazoezi tunaenda nao sawa
 
ni mazoezi tu unajua sisi tuna miili migumu na mistahimilivu kuliko wajamaa huku napo wangekuwa wanapiga hayo mazoezi tunaenda nao sawa

Aisee hawa wazungu wa Europe hawawezi subutu
Mazoezi sawa ila haya majitu ya huko yanauvumulivu sana hata jeshini au uraiani
 
Horten Ho 229 , ndege inayoaminika kwamba kama ingeweza kutengenezwa kwa wingi na kuingia uwanja wa vita, basi ingewapa wajerumani ushindi wa vita ya pili ya dunia.

bombers-horten-ho-229-wallpaper-preview.jpg

Horten Ho 229.jpg

Top speed = 1000km/hr
Pia umbo lake la "flying wing design" linaifanya kuwa moja ya "Stealth aircraft" ya mwanzo kabisa.
 
Back
Top Bottom