CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
Ukifanya kazi z watu kwa bidii lazima wakuaminSanaa yaan wanapiga hela balaaa na wako vizuri ndiyo maana wanaaminiwa hadi leo tokea 1965 hadi leo kitu hiki bado kipo kwenye service sio poa
Kabisaa mkuuHii kitu akishakuzoom akikukosa inabidi ukaokoke
Hii kada ni ya kipekee na wana majukumu makubwa na mazito mnoo! MUNGU AWABARIKI POPOTE WALIPO!🪖kazi ya soldier ni kulinda nchi na watu wake ,kuwasaidia pale wanapohitaji huduma yako🪖View attachment 2117238
Mwamba na punda [emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ile umbwa achana nayo,,, ili crawl behind enemy lines for 3 fckn days,, kwenda kumuua general wa congs,,,na hakuna aliyemkamata alikuwa so scary had Vietnam waliweka bounty ya 30,000 USD kwa atakaye muua,,, ila sniper wote waloenda kumuwinda they had the same fate,,,just imagine mmoja wa sniper alipigwa on the eye bullet ilipita kwenye scope Yake,,, this mofo was something else [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Russia nchi ya kigengsta nchi ya watu wawili ili wanapokezana tuMkuu, huwa nafuatilia ile "Victory Day Parade" ya warusi acha kabisa, watapitisha mashine tata za kivita hapo hatari kabisa.