Military photos

Hivi huwa wanawajaza nini akilini na moyoni, wale jamaa wana roho ngumu sana aisee.. wengine watoto wadogo kabisa
kama umeitazama movie ya Dirty Diamond kijiji kilivamiwa huko freetown dogo akachukuliwa na kwenda kupewa mafunzo ya kigaidi ikabidi baba ake aingie mzigoni kumtafuta utakua na idea,wanakuwa brain washed,wanaaminishwa ugaidi ndio jambo pekee sahihi
 
Blood Diamond sio dirty chief
 
kama umeitazama movie ya Dirty Diamond kijiji kilivamiwa huko freetown dogo akachukuliwa na kwenda kupewa mafunzo ya kigaidi ikabidi baba ake aingie mzigoni kumtafuta utakua na idea,wanakuwa brain washed,wanaaminishwa ugaidi ndio jambo pekee sahihi
Hivi kuna dirty diamond na blood diamond?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…