Military photos

Military photos

EA3095CF-6E1E-4420-984A-53D6BFE97A51.jpeg
 
Sikumbuki jina lake,,, but very efficient on taking down moving aircraft
yap mkuu, zinakuwa kwenye battlecruisers/ships mara nyingi. pia zinakuwa attached na gatling gun, zifa zake kubwa ni kudetect na ku-shoot down enemy craft, be it air or marine. pia uwezo wake wa ku-predict pathway ya enemy craft ni hatari sana.
kipindi pirates wa somalia wameshika hatamu, marekani ikatoa cruisers zenye hiyo system ziwe zina-escort mameli hapo horn of africa.
 
Yeeeh ofcourse,, system yake ni konyo kwenye prediction trajectory of moving vessels,,
 
nawakubali kinoma huwa wanamahesabu makali sana na wanajua kucheza na timing kinachonifurahisha zaidi unaweza hata kumpita kutokana na kujiweka kwao kama kinyonga vile kubadilika kulingana na mazingira husika kumbe mwenzako anakulia rada tu
Hakika mkuu
 
kwa hiyo wakuu, tukivyokuwa tunapost post hapa, vitaingia kazini muda si mrefu!
Anyway,
The Motherland Calls
 
Back
Top Bottom