CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
Tactics and map reading🪖 kwenye military hakuna kitu muhimu kama kumjua adui yako kujua mazingira yake,kujua madhaifa ya eneo husika ili mission iweze kamilika na huwa adui atakiwi aanze kukuona wewe ndiye unapaswa uanze kumuona adui 🪖View attachment 2127344View attachment 2127345View attachment 2127346View attachment 2127347View attachment 2127349View attachment 2127350
Kwa sasa duniani/tanzania tunao field marshal wangapi
yap mkuu, zinakuwa kwenye battlecruisers/ships mara nyingi. pia zinakuwa attached na gatling gun, zifa zake kubwa ni kudetect na ku-shoot down enemy craft, be it air or marine. pia uwezo wake wa ku-predict pathway ya enemy craft ni hatari sana.Sikumbuki jina lake,,, but very efficient on taking down moving aircraft
Africa ata duniani kunaweza kusiwepo ata mmoja aliysshinda vita 3 kama kiongozi mpiganajiKwa sasa duniani/tanzania tunao field marshal wangapi
Yeeeh ofcourse,, system yake ni konyo kwenye prediction trajectory of moving vessels,,yap mkuu, zinakuwa kwenye battlecruisers/ships mara nyingi. pia zinakuwa attached na gatling gun, zifa zake kubwa ni kudetect na ku-shoot down enemy craft, be it air or marine. pia uwezo wake wa ku-predict pathway ya enemy craft ni hatari sana.
kipindi pirates wa somalia wameshika hatamu, marekani ikatoa cruisers zenye hiyo system ziwe zina-escort mameli hapo horn of africa.
😁 poa ngoja tu check na Russia@RWANTANG ntafutie moja ya hv
Hatutabasamu na kima,tumbili wala ngedereNayajua vizuri na hatuna mchezo
Safi mkuu lete vituNkipata muda mkuu ntaandika kwanini watu hutumia budget kubwa kwenye ulinzi
Hakika mkuunawakubali kinoma huwa wanamahesabu makali sana na wanajua kucheza na timing kinachonifurahisha zaidi unaweza hata kumpita kutokana na kujiweka kwao kama kinyonga vile kubadilika kulingana na mazingira husika kumbe mwenzako anakulia rada tu
hili dude target ikisha lock ndege lazima iende chini
Halina utani halafu sio ndege tu hata mi bolistic inavurugwa akili inapoteza targethili dude target ikisha lock ndege lazima iende chini
Hizi bongo tunazo nyingi tu
Inaitwaje mkuu,na inapatikana nchi gani?Halina utani halafu sio ndege tu hata mi bolistic inavurugwa akili inapoteza target
Us marine wote wapo physical strength hakuna mwenye mwili wa kizembezembe
Mkuu mambo ya Russia hayo