Military photos

πŸͺ–kichwa kingine kibovu hichi hapa amefanya majarabio kadhaa ila hii ICBM test sio poa halafu mwenyewe ameongoza hilo tukio ,anawapasua kichwa sana wamarekan huyu jamaa mwenyewe anataka North Korea iwe recognized kama Nuclear power state [emoji1787][emoji1787]πŸͺ–
 
Fakhir Berwari

disarmed thousands of mines in northern Iraq from 2003 until an improvised explosive device killed him in November 2014. His life and death were captured on camera, and the combination of amateur and professional footage has been turned into award-winning documentary "The Deminer."

Huyu jamaa alikuwa ni bonge la jasiri anategua mine kwa mikono hata bila ya kuvaa kifaa chochote cha kujilinda ,anatumia praizi tu kwa ajili ya kukata nyanya alitegua mengi sana Iraq kuna landmimes nyingi sana hata alipolipukiliwa na bomb wakat anategua akaendelea hivyo hivyo na mguu wake mmoja hadi pale alipokufa na wenzake wawili akiwa anategua mine moja kwenye nyumba moja wamarekani hawakukosea kumuita ""Crazy Fakhir""

Ni mojawapo ya documentary nzuri sana ya kuangalia maana jamaa alikuwa anachukua video wakati anayategua kabla hajafa na wenye mioyo midogo wanaweza lia kipindi jamaa analipukiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…