Military photos

Military photos

🪖🪖
FB_IMG_1650782096151.jpg
 
Wakuu kwanini AK 47 ni silaha maarufu sana!??
Nadhani zipo silaha za zenye uwezo zaidi yake kwanini yenyewe ni maarufu sana.!?
 
Wakuu kwanini AK 47 ni silaha maarufu sana!??
Nadhani zipo silaha za zenye uwezo zaidi yake kwanini yenyewe ni maarufu sana.!?
Ni kweli zipo silaha kibao na nzuri zaidi AK 47 kwanza official name yake ni Avtomat Kalashnikova (Automatic Kalashnikov) ,AK kwa kifupi tu kwa urahisi wa kutamka na hiyo 47 ndiyo mwaka ambao hii rifle ilikamilika kutengenezwa sasa tukija kwenye swali lako ni kutokana na urahisi na kutokuwa na mambo mengi(simplicity and its ability to take a beating) AK 47 ilivyotengenezwa ni rahisi kutumia,rahisi kuirekebisha ni reliable kwa kweli na hii haina accuracy sana ila kwenye close combat ni ya moto sana.

Hii chuma inapeta kwenye vumbi sehemu zenye michanga na hata kwa mtumiaji ambaye sio mtunzaji sana wa bunduki kwa sababu bunduki nazo huwa zina service zake hii inamfaa kutokana na ule uvumilivu wake halafu sio rahisi kujam hii kitu ,hii kitu mtumiaji anaweza dumu nayo kati ya miaka 20 hadi 40 hapo.

Hii ni chuma ni ya hawa jamaa hapa terrorists, drug lords, na thugs ni watumiaji wazuri sana wa AK 47.View attachment 2198561
FB_IMG_1650786179488.jpg
 
Back
Top Bottom