Ni kweli zipo silaha kibao na nzuri zaidi AK 47 kwanza official name yake ni Avtomat Kalashnikova (Automatic Kalashnikov) ,AK kwa kifupi tu kwa urahisi wa kutamka na hiyo 47 ndiyo mwaka ambao hii rifle ilikamilika kutengenezwa sasa tukija kwenye swali lako ni kutokana na urahisi na kutokuwa na mambo mengi(simplicity and its ability to take a beating) AK 47 ilivyotengenezwa ni rahisi kutumia,rahisi kuirekebisha ni reliable kwa kweli na hii haina accuracy sana ila kwenye close combat ni ya moto sana.Wakuu kwanini AK 47 ni silaha maarufu sana!??
Nadhani zipo silaha za zenye uwezo zaidi yake kwanini yenyewe ni maarufu sana.!?
Sasa huyu sukuno anataka kuleta tafrani tena
Unakuta wamepiga kanzu naa barakashia afya mbovu Ila you mkong'oto wanaotoa Sasa hahahaππππunakuta wamevaa zao open shoe, mixer afya mgogoro
Hiz boot unaeza vimbia nazo mtaani kabisaππMilitary Boots [emoji152][emoji152]View attachment 2095232View attachment 2095233View attachment 2095234View attachment 2095235View attachment 2095236View attachment 2095237View attachment 2095241View attachment 2095242View attachment 2095243View attachment 2095244View attachment 2095245View attachment 2095248