Na ukikipata vuta uitoe hiyo ring! Kinakuwa kinapoza maji yanakuwa baridi balaa!!mkuu Kwani Hiki ni kibuyu Cha kuwekea maji ya kunywa?
Nimekipenda vinauzwa madukani kawaida nikanunue??
Sinaga akili Mimi!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Duuu kumbe Kwa sisi tusio na friji kinafaaa sana unatia zako juisi ya pilipili inapoozwa burdaniiiiiii!Na ukikipata vuta uitoe hiyo ring! Kinakuwa kinapoza maji yanakuwa baridi balaa!!
Tena kitu kizuri ni kwamba kinatumia Solar, hapo juu kuna panel ndogo ya solar, tena iko quality! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]Duuu kumbe Kwa sisi tusio na friji kinafaaa sana unatia zako juisi ya pilipili inapoozwa burdaniiiiiii!
[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji1787][emoji1787]ila kipini kipo mahala pake hapo freshNgoja niuripue huu uzi!
View attachment 2085599
[emoji92][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji92]
nchi za ulaya zinashindana kwenye silaha za kivita ili ziogopweBinadamu muharibifu sana
Silaha na vifaa vyote hivyo vinatengenezwa kwa lengo la kupigia au kuulia binadamu!
Budget ya ulinzi/ majeshi duniani ingetumika katika kusaidia kuleta amani dunia ingekua salama na mahali pazuri pa kuishi
Halafu Ibilisi atakula wapi?Binadamu muharibifu sana
Silaha na vifaa vyote hivyo vinatengenezwa kwa lengo la kupigia au kuulia binadamu!
Budget ya ulinzi/ majeshi duniani ingetumika katika kusaidia kuleta amani dunia ingekua salama na mahali pazuri pa kuishi