Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Na ukikipata vuta uitoe hiyo ring! Kinakuwa kinapoza maji yanakuwa baridi balaa!!mkuu Kwani Hiki ni kibuyu Cha kuwekea maji ya kunywa?
Nimekipenda vinauzwa madukani kawaida nikanunue??
Sinaga akili Mimi!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]