Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni modified UZI?
F 35 hii generation no hatari.
yah wajamaa walifanya fasta fasta kabla mchina hajafika maana wanamjua sekta hyo hanaga masihara kbsF 35 hii generation no hatari.
Juzi imepiga chini moja huko South China Sea. Nasikia wakawahi kuikoa kabla mvimba macho hajafika maana ndani ya mwezi tu tungekuwa tunaziona North Korea.
Kwa sasa ukiondoa Nyuklia missiles nafkiri game lipo ktk 5th generation air craft
halafu inacost mpunga mrefu sana hiyo kituF 35 hii generation no hatari.
Juzi imepiga chini moja huko South China Sea. Nasikia wakawahi kuikoa kabla mvimba macho hajafika maana ndani ya mwezi tu tungekuwa tunaziona North Korea.
Kwa sasa ukiondoa Nyuklia missiles nafkiri game lipo ktk 5th generation air craft
Iv hawa wajuba n wa wap?Sanlg soldiersView attachment 2098794
Made in China?
Apache helicopter,,, unajua prince Harry ni pilot mzuri tu wa hizi ndude
F 35 US watakuuzia ila mnyama F 22 raptor hata washirika wao wa NATO hawawauziiF 35 hii generation no hatari.
Juzi imepiga chini moja huko South China Sea. Nasikia wakawahi kuikoa kabla mvimba macho hajafika maana ndani ya mwezi tu tungekuwa tunaziona North Korea.
Kwa sasa ukiondoa Nyuklia missiles nafkiri game lipo ktk 5th generation air craft
Hii nzuri sanampo zenu kwenye event jamaa anaingia na gitaa lake wote mnatabasamu baada ya sekunde kadhaa damu zinatapakaa
Kama aivorini vile