Sasa mkuu hii tabia isipokomeshwa tutakuja kuuana bure,maana hata sisi raia tuko vizuri sana kwenye kupambana,maana nina uhakika wanajeshi watatu nina uwezo wa kuwakalisha chini vzr sana,maana hata raia wengine wana bastola tutakuja kuuana hivi hivi,mi siwezi kukubali hata siku moja bora inuke tuNi ubabe tu mkuu,wale ma MP ni kwa ajili ya wanajeshi wanspoharibu kazi wanawapeleka huko wanakula tifu la kutosha.
Ndyo maana hakuna raia atakayehukumiwa katika mahakama za jeshi.jeshi na raia hakuna uhusiano.
Hayo mambo ni ya polisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu hii tabia isipokomeshwa tutakuja kuuana bure,maana hata sisi raia tuko vizuri sana kwenye kupambana,maana nina uhakika wanajeshi watatu nina uwezo wa kuwakalisha chini vzr sana,maana hata raia wengine wana bastola tutakuja kuuana hivi hivi,mi siwezi kukubali hata siku moja bora inuke tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ubabe tu mkuu,wale ma MP ni kwa ajili ya wanajeshi wanspoharibu kazi wanawapeleka huko wanakula tifu la kutosha.
Ndyo maana hakuna raia atakayehukumiwa katika mahakama za jeshi.jeshi na raia hakuna uhusiano.
Hayo mambo ni ya polisi.
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
Hiyo mandate ya kukufanyisha mazoezi kama hujakosea wanaitoa wapi?Mbona hamna shida kabisa wale jamaa huwaga hawapigi bali huwa wanakufanyisha mazoezi ya viungo tu.
Kama wakikupiga una haki ya kumshitaki(hata kwa mkubwa wake) au kama anakaa mtaani nenda kamshitaki polisi,kama raia wa kawaida(jamaa huwaga wanajishusha sana inapofikia ishu ya kupelekwa mahakamani)
5/5.
Tesla! We ni sensei ni nini? Watu watatu wenye mazoezi unaondoka nao! Mimi wawili tu, ila wakiwa maboya nawasafirisha kweli.Sasa mkuu hii tabia isipokomeshwa tutakuja kuuana bure,maana hata sisi raia tuko vizuri sana kwenye kupambana,maana nina uhakika wanajeshi watatu nina uwezo wa kuwakalisha chini vzr sana,maana hata raia wengine wana bastola tutakuja kuuana hivi hivi,mi siwezi kukubali hata siku moja bora inuke tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe upo vizuri sana ilitakiwa upambane na hao jamaa Ili wamuachie huyo mtuSasa mkuu hii tabia isipokomeshwa tutakuja kuuana bure,maana hata sisi raia tuko vizuri sana kwenye kupambana,maana nina uhakika wanajeshi watatu nina uwezo wa kuwakalisha chini vzr sana,maana hata raia wengine wana bastola tutakuja kuuana hivi hivi,mi siwezi kukubali hata siku moja bora inuke tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha hawa watu wakati nasoma nilikuaga napanda basi Lao kila siku... Siku hiyo nimepanda fresh tu hadi nimekaa wananiangalia Sana nikasema Leo Vip.. Huku gari linatembea wakanisimamisha mbele wakanipigisha magoti.. Daaah et kisa nilikua sijachomekea shati La shuleusinikumbushe hio kambi ya hapo uhasibu kuna siku zamani wakati nipo TIA apo niliingia kwenye supermarket yao ya jeshi pale nimevaa kata K kulikua ni kipindi cha mvua mvua kwakweli sitasahau yaliyonikuta wanajeshi sisi sio adui zenu sisi ni raia tu adhabu zenu zinawafaa nyie sio sisi raia
sikuingia class vipindi karibu wiki nzima na nilipata kichomi ugonjwa ambao sikua nimewahi kupata tangu nimezaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tesla! We ni sensei ni nini? Watu watatu wenye mazoezi unaondoka nao! Mimi wawili tu, ila wakiwa maboya nawasafirisha kweli.
Suala la Wajeda kuwapa adhabu raia ni utemi tu na kinachowalinda ni jezi zao za mabaka baka. Raia akifanya kosa inabidi akabidhiwe mikononi mwa polisi.
Mkuu wewe upo vizuri sana ilitakiwa upambane na hao jamaa Ili wamuachie huyo mtu
Sent using Jamii Forums mobile app