Military police (MP)

That means una dan?

"Hatikvah"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo doso liliingia kisawa sawa
"Hatikvah"
 
Shida ya polisi na wanajeshi ya bongo ndio hiyo!! Wanafanya kazi kihisia zaidi kuliko uhaisia, ndio maaana uchunguzi/upelelezi wa kibabaishaji sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuweke sparing nione kama uko fiti kweli
 
Hah
mimi ni muhanga wa hili...
nilimkung'uta mmoja bila kujua kama ni soja mwenye nyota moja..
akaenda kambini akarudi na MP 7 na mmoja alikuwa na SMG...
kilichofuatia naomba niishie hapa.
Ahahaaaaaaa pole sana
 
Kuna mambo ya kuangalia. Kwa jicho la tatu!
...katika nyanja za kijeahi kuna intelligensia mtu anaweza kujifanya kapotea njia anakatiza kwenye kambi ya jeshi kumbe kuna taarifa anatafuta.. Ukimkamata na kumpeleka police atatoa 10,000 watamwachia kesho atakuja tena au atakuja mwingine! Hapo baada ya mwaka watakua wamepata taarifa kiasi flani wanachotaka!
Dawa ni kuhakikisha hakatizi mtu asiyehusika na hapo ndo panapokuja ile neno DOSO au adhabu za kijeshi maana ukienda kipolice police kule ni hela tuu na kama ni misheni imepangwa lazima ikamilike
 
Mkuu umewahi kusikia kitu kinaitwa Combat Karate?
 
wewe labda wasiwe wanajeshi wa JWTZ
 
Thubutu alafu tukikutana kwa Sir God utanisimlia vizuri
 
Karibu sana Ukonga mkuu tuonyeshane ujuzi na nikikufua kitakachofuata mimi sikijui!
 
Unapigwa tu hata ukimkany'aga kwa bahati mbaya na huna pakushitaki.
.
Sisi raia wengi tunakatabia ka kujisahau sana
.
Kwa mfano mwanajeshi kaja sokoni Tandale akamwagiwa kwa bahati mbaya maji machafu! Je akaushe asifanye lolote ili adhalilishe nguvu ya jeshi? Hapana ni lazima afanye kitu.
 
Nenda polisi toa taarifa ya kushambuliwa na askari na kukujeruhi, utapewa PF3 utaenda hospital utatibiwa then unafungua kesi anaitwa kupitia mkuu wake wa kikosi.

Taratibu zitafuatwa kama ni mahakamani atapelekwa (iwe ya kijeshi iwe ya kiraia), kama kuna gharama za matibabu, fidia utalipwa, tena askari atapata tabu sana.

Askari hupenda kuonea raia kwakua raia wengi hawajui haki zao, na hawajui mipaka ya askari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…