Kwann????Kama ni kweli basi ni habari njema sana
Tangu liniNasikia MillardAyo ameacha kazi Clouds FM na kapata mchongo huko Marekani
1.Amplifire hatangazi tena
2.Top20 hatangazi tena
3.Hajajihusisha hata kidogo na FIESTA kwa Website yake,FB wala Instagram
4.Istagram yake ametoa ile clouds meadia groo kaweka Broklyn, NewYork
Jee ni kweli hiii....
Muuulize mwenyewe
A true example of a die hard haterHaahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha
duuh kweli haters utawajua tu hata kama utawaona kwa macho ila sishangai ndo tulivyo wabongoA true example of a die hard hater
Kuna harufu ya wivu hapa, kupenda kutukuza na kuabudu watu wa nje ya nchi, kama utumwa flani hivi.Haahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha
Kwahiyo hapa unazibitisha clous hawana jipya na niwatu wakuiga mambo ya watu.unahakikisha hapa kuwa wanaiba mambo kutoka E.FM na kwa wengine safi sana kwakuwa mkweli kuhusu ClousHaahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha
Wivu kiwango cha LAMIHaahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha
Mondi sawa kakupigia demu wako hiyo inajulikana, je huyo kijana amekufanya nini hadi umchukie? Jamaa una roho mbaya hata kwenye mtandao! Duh!Haahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha
Umesikia wapi?Nasikia MillardAyo ameacha kazi Clouds FM na kapata mchongo huko Marekani
1.Amplifire hatangazi tena
2.Top20 hatangazi tena
3.Hajajihusisha hata kidogo na FIESTA kwa Website yake,FB wala Instagram
4.Istagram yake ametoa ile clouds meadia groo kaweka Broklyn, NewYork
Jee ni kweli hiii....
mkuu vp unaTaka ukachukue nafasi yake?Kama ni kweli basi ni habari njema sana
Kumbe anavyo tangaza huwa anakukera [emoji33] hizi mambo za wanawake waachieHaahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha