Tetesi: Millard Ayo Aacha kazi CloudsFM

Tetesi: Millard Ayo Aacha kazi CloudsFM

Status
Not open for further replies.

doug255

Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
10
Reaction score
55
Nasikia MillardAyo ameacha kazi Clouds FM na kapata mchongo huko Marekani

1.Amplifire hatangazi tena
2.Top20 hatangazi tena
3.Hajajihusisha hata kidogo na FIESTA kwa Website yake,FB wala Instagram
4.Istagram yake ametoa ile clouds meadia groo kaweka Broklyn, NewYork

Jee ni kweli hiii....
 
Tangu lini
 
Haahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha
 
A true example of a die hard hater
 
Kuna harufu ya wivu hapa, kupenda kutukuza na kuabudu watu wa nje ya nchi, kama utumwa flani hivi.
 
Haahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha
Kwahiyo hapa unazibitisha clous hawana jipya na niwatu wakuiga mambo ya watu.unahakikisha hapa kuwa wanaiba mambo kutoka E.FM na kwa wengine safi sana kwakuwa mkweli kuhusu Clous
 
Haahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha
Wivu kiwango cha LAMI
 
Mondi sawa kakupigia demu wako hiyo inajulikana, je huyo kijana amekufanya nini hadi umchukie? Jamaa una roho mbaya hata kwenye mtandao! Duh!
 
Haahahaha haya ndo mambo aliyokutana nayo mondi kule BET,eti akazani yeye ni staa kwa afrika nzima kumbe wanaoujua mziki wanajua jamaa bado Sana kwani wingi wa kelele za afrika mashariki sio ubora wa msanii,sasa Huyo Millard Ayo anapewa Sifa Sana lakin style zote za utangazaji anaiga mbele,anamuiga Ryan secrest na Ramero Torres mpaka kero aisee,sasa nyie msiojua ndo kelele mkizani jamaa anaswag za kipekee kumbe mwenzenu anakopi na kupesti tu,marekani kuna watu wanajua kutangaza acheni aisee,Huyo Millard labda apewe shavu na mbongo anayeishi kule amtangazie udaku ghetoni kwake...hahaha
Kumbe anavyo tangaza huwa anakukera [emoji33] hizi mambo za wanawake waachie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom