Millard Ayo achafuliwa Instagram

Huyo demu hata ajui pa kutafutia kiki. Like seriously kabisa? Nina miaka 7 namfahamu Millard ayo. Sijawahi kusikia maswala yake ya mahusiano hadharani. Pili huyo demu. Hajielewi kumchafua tu mchizi.
 
Aisee! Instagram community! Lakini kwanini tunamuona huyo dada muongo? Kwamba Millard Ayo hawezi kupiga mechi za mchangani; au?! Mechi hizi hizi ambazo zinapigwa na Masheikh, Maaskofu, Mawaziri na wengine kibao zionekane haiwezekani kwa Millard? Au hawezi kutoa advance kisha akaingia mitini?!
 
waulize mkuu!wanamsemea ufatdani wanaishi nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…