AgentX
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 1,651
- 1,697
BravooWow! Brilliant!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BravooWow! Brilliant!
Kajidhalilisha kwa upande wa hela na kajipa shavu upande wa dushee kubwaLini ulisikia kibAya kumuhusu millard toka umfahamu. Kiki na kujidhalilisha wapi na wapi
ahaa naombeni namba ya millard nikaoneKajidhalilisha kwa upande wa hela na kajipa shavu upande wa dushee kubwa
Wanazngua c kidogoHii sentensi "Mungu anakuona" mnaitumia vibaya sana hata kwenye mambo ya kipuuzi kama haya.
Kuweni makini Mungu hadhiakiwi!
hivi unawezaje kumtetea binadamu ambae hujui moyo wake?Kwa nimjuavyo Millard Ayo sidhani kama anaweza anaweza kufanya " upuuzi " wa aina hiyo na sana sana ninachokiona hapo ni vita tu ya Kibiashara hasa ukizingatia kuwa kwa sasa Millard anawaburuza baadhi ya Watu Kibiashara hasa baada ya kuonekana " anakubalika ". Na inavyoelekea kama na Yeye hatokuwa makini na kuchukua tahadhari za " kimkakati " mapema anaweza kujikuta anachafuliwa sana na kuja kumuharibia. Awe tu mwangalifu na awachunguze pia Marafiki zake kwani waliosema kuwa " kikulacho ki nguoni mwako " hawakukosea.
Upuuzi upi ambao hawezi kuufanya? Wa kupiga ndondo cup au kutoa advance na kula kona?!Kwa nimjuavyo Millard Ayo sidhani kama anaweza anaweza kufanya " upuuzi " wa aina hiyo na sana sana ninachokiona hapo ni vita tu ya Kibiashara hasa ukizingatia kuwa kwa sasa Millard anawaburuza baadhi ya Watu Kibiashara hasa baada ya kuonekana " anakubalika ". Na inavyoelekea kama na Yeye hatokuwa makini na kuchukua tahadhari za " kimkakati " mapema anaweza kujikuta anachafuliwa sana na kuja kumuharibia. Awe tu mwangalifu na awachunguze pia Marafiki zake kwani waliosema kuwa " kikulacho ki nguoni mwako " hawakukosea.
Ukipata alternative hapo vp?!ahaa naombeni namba ya millard nikaone