Millard Ayo achafuliwa Instagram

Millard Ayo achafuliwa Instagram

Naunga mkono hoja.... Yeye ni nani, na ulitaka uanze kusikia lini madudu yake sio kama hivi ulivosikia leo? Hii kitu hainaga utaalamu wa usomi.... Genye zina nguvu kuliko akili yako ya kawaida, ndio maana mtu anachojoa akabaki kama alivozaliwa mbele ya mwenzie bila kuona aibu na asijitambue... Wangapi wenye utimamu na busara za kumzidi Millard, wameumbuka kwenye hii kitu? Hata hao wenye skendo walikua kama Millard, leo imefika zanu ya millard kwann msiamini? Kila jambo Lina mwisho wake, na ukae ukijua uzinzi Mungu hapendi, kaamua kumuonya kwa namna hii.. MUNGU ANAONA......
Na ukiangalia fiesta hamna helaa kabisaa
 
Alimwambia atamrushia kwa simu...si amsubirie? Watu wanamsubiri YESU miaka elf 2 imepita sembuse yeye hata mwezi bado? ATUNZE RISITI TU..
Millard ayo ni good gentleman, mtu wa nguvu yupo peace sana. Natumaini atatumia busara ktk kipindi hiki cha kick ya mpito though ni kipindi kigumu kwa skendo mbaya.

Akinyamaza itakuwa ishu[emoji3]
Akisema hamjui itakuwa ishu[emoji3]
Akitolea ufafanuzi itakuwa ishu[emoji3]
 
Millard ayo ni good gentleman, mtu wa nguvu yupo peace sana. Natumaini atatumia busara ktk kipindi hiki cha kick ya mpito though ni kipindi kigumu kwa skendo mbaya.

Akinyamaza itakuwa ishu[emoji3]
Akisema hamjui itakuwa ishu[emoji3]
Akitolea ufafanuzi itakuwa ishu[emoji3]
Yuko peace balaaa..akinyamaza ntamkubari saaana...
 
Back
Top Bottom