Millard Ayo achafuliwa Instagram

Millard Ayo achafuliwa Instagram

atafutwe na nani?, Soudy Brown?
Operesheni OFM ya kufichua maovu na magazeti ya Global pub ndo wanaweza kuzisaka hizi taarifa nyeti..kwa Soud Brown ni sawa na kesi ya nyani kumpelekea ngedere atamheshimu blaza Ayo, nitajihakikishia kwenye kipindi cha WEEKEND GOSSIP ijumaa hii kama watairusha hii kitu[emoji3] [emoji23]
 
Hiyo stori ni uongo ukijaribu kuisoma between the lines,hatukatai Millard anaweza kufanya hivyo vitu lakini ukisoma vizuri utaona kabisa kuna kama mtu alikuwa anamwambia andika hivi ndo italeta mantiki zaidi,hapo ukiangalia huo ndo ukweli
 
Mtu wangu wa nguvu [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Siku hizi akina sie ukijaribu kupigania maslahi yako dhidi ya super celebrity watu wanakuambia unatafuta kiki...
Exactly wakati hakuna washenzi km hao they called supastaa!!

Wengi umaarufu kunuka tu!
 
Millard ayo ni moja kati ya watu maarufu ambao wako smart sana kwenye kufanya vitu vyao,,,,,huyu bi dada kaingia chakike akatafute pa kutafutia kiki
 
SHILAWADU INC. hebu liangalieni hili swala la Millard...maana sio kwa kudhalilishwa huku..
 
Mtu wangu wanguvu hiyo ni ofa kubwa sana amekupa nahyo buku ten ni bonus tu ambayo ukustaili nayo kupewa.Jaman muacheni kumchafua kijana wawatu mungu anawaona
 
Millard Ayo plzz tunaomba chukua hatua she has lowered ur reputation for those who trusted u they started to doubt u. If not true do something.
 
Huyu mdada ana majaribu!Anatafuta kiki.Hata kama ni kweli si alitaka mwenyewe.Auze hata maandazi mungu atamuona.Bado tuna imani na mtu wetu wa nguvu ...
 
Vidada vya mjini havina kazi kutwa nzima vinashinda instagramu kutafuta umaarufu kazi hazitaki kutwa kutafuta wanaume.
 
Kumbe morogoro ilikuwa IMOOOOOOOOOOOOO [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Anaweza akawa siriasi maana naona Mungu kahusishwa!!!!!!
 
Back
Top Bottom