supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Operesheni OFM ya kufichua maovu na magazeti ya Global pub ndo wanaweza kuzisaka hizi taarifa nyeti..kwa Soud Brown ni sawa na kesi ya nyani kumpelekea ngedere atamheshimu blaza Ayo, nitajihakikishia kwenye kipindi cha WEEKEND GOSSIP ijumaa hii kama watairusha hii kitu[emoji3] [emoji23]atafutwe na nani?, Soudy Brown?
Exactly wakati hakuna washenzi km hao they called supastaa!!Siku hizi akina sie ukijaribu kupigania maslahi yako dhidi ya super celebrity watu wanakuambia unatafuta kiki...
Kulala na millardayo tu ni zawadi dadaa...hiyo pesa kakuongezea tuuuuu......
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Vibamia hoyeeeeeee