Millard Ayo ajimilikisha Jokate

Kuhusu picha, nadhani kwa sasa Wabongo tuko kwenye hatua mbaya, yaani watu wakipiga Picha tu kosa? Mbona Le Mutuz anapiga Picha na watu kila siku na hatusemi?!
Ova

hii hawakusema... Songa & Jokate

 
Acha ubishi usio na tija huyu jokate ni wakawaida sana hata mimi nilipomuonaga mara ya kwanza posta nilishangaa na nilivyokua namuona udsm maeneo ya hall 4 ndo kabisa yani...

Hili neno "Mzuri " ni relative. mzuri kwako mbaya kwa mwenzio. Ila Kiukweli Jokate ni mzuri, palatable, Analipa mwingine ubishi tu!!
 
First of all Joketi wa kawaida kupita maelezo!

Second one kama ni kweli amesign such a cotract/endorsement hakyanani hatutalala usingizi mnono kwani kelele zitakuwa kila sehemu

Kuna mtu alijinunulia BMW ikawa ni heka heka itakuwa 8 bil

nampenda anajituma sana hanaga mbwembwe
 
K ikishapitiwa na domo inashuka thamani, sishangai
 
haka katoto nikikaangalia kanaelekea katamu sana!' ........

Grand PA
 
Ha ha ha!!Kiukweli jojo ni mzuri bwana,plus shule ndo kabsaaa!!Anajituma na ni mchapakazi,sema tatizo anagawa kwa rika zote,kwenye ufuska ndo atulie tu,everybody has her/his past,zaidi nawatakia mafanikio mema!!

Zingine ni hear says tu. Hebu thibitisha!
 
Ila tuko tofauti sana.

Mi nikiishaskia unapakuliwa/ulikuwa unapakuliwa na fulani,hua nahisi kinyaa.
Hata uweje.

Hongera zao.
 
Last edited by a moderator:
Duh kuna watu wametembelewa na watu wengi...Wema, Joketi, etc
 
Beauty is in the eyes of the beholder. That is why brains counts more in a woman to me.
 

Dah! Hakuna zawadi kubwa maishani mwangu kama mtu kuthamini mchango wangu. Asante sana ndugu yangu dawa yenu, ninapopokea pongezi za wazi kama hizi huwa napata changamoto ya kulinda kile kilichofanya nipate pongezi hizi. Shukrani sana, Mungu akubariki.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Wakawaida kwakua unamjua kupitia picha tu..jokate ni binti wa kingoni msomi mzuri na mrembo..utakua unakosea sana kumfananosha Jo na yule mwenye makalio yanayodondoka anaeshindia bia za Serengeti triple 7..

Jamani wabongo achenii fitina
 
Acha ubishi usio na tija huyu jokate ni wakawaida sana hata mimi nilipomuonaga mara ya kwanza posta nilishangaa na nilivyokua namuona udsm maeneo ya hall 4 ndo kabisa yani...

Acha bifu za kitoto! Hivi unaweza kumuita jokate mbaya?..kosoa tabia yake labda lkn kwa uzuri jokate sio mbaya kiasi cha kubezwa kiasi hicho
 

Kwa hiyo mi mchango wangu unauchukulia poa sio?.. any way pita kule isiwe tabu!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nimalizie kiroba kwanza nkishakaa level ntarud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…