snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Kuhusu picha, nadhani kwa sasa Wabongo tuko kwenye hatua mbaya, yaani watu wakipiga Picha tu kosa? Mbona Le Mutuz anapiga Picha na watu kila siku na hatusemi?!
Ova
hii hawakusema... Songa & Jokate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu picha, nadhani kwa sasa Wabongo tuko kwenye hatua mbaya, yaani watu wakipiga Picha tu kosa? Mbona Le Mutuz anapiga Picha na watu kila siku na hatusemi?!
Ova
hii hawakusema... Songa & Jokate
![]()
Acha ubishi usio na tija huyu jokate ni wakawaida sana hata mimi nilipomuonaga mara ya kwanza posta nilishangaa na nilivyokua namuona udsm maeneo ya hall 4 ndo kabisa yani...
First of all Joketi wa kawaida kupita maelezo!
Second one kama ni kweli amesign such a cotract/endorsement hakyanani hatutalala usingizi mnono kwani kelele zitakuwa kila sehemu
Kuna mtu alijinunulia BMW ikawa ni heka heka itakuwa 8 bil
Ha ha ha!!Kiukweli jojo ni mzuri bwana,plus shule ndo kabsaaa!!Anajituma na ni mchapakazi,sema tatizo anagawa kwa rika zote,kwenye ufuska ndo atulie tu,everybody has her/his past,zaidi nawatakia mafanikio mema!!
Karibu.
Ova
kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia michango yako humu na niseme wazi kuwa nimeridhishwa na uelewa wako katika mambo tofauti tofauti. Nimekuweka kwenye list ya watu wangu ambao kila wanachoandika nakisoma between the lines na nitakitumia kama reference popote itakapo nibidi kafanya hivyo. mpaka sasa katika list hiyo upo wewe, Eiyer, Pasco, Nyani Ngabu, Kiranga, Invisible, Mzee Mwanakijiji, CHIEF MKWAWA....
hii hawakusema... Songa & Jokate
![]()
Wakawaida kwakua unamjua kupitia picha tu..jokate ni binti wa kingoni msomi mzuri na mrembo..utakua unakosea sana kumfananosha Jo na yule mwenye makalio yanayodondoka anaeshindia bia za Serengeti triple 7..